Duration 4:56

TUMEZINDUA HUDUMA MPYA YA KIBUBU, SASA MTU YOYOTE ANASAFIRI.

385 watched
0
9
Published 11 Sep 2021

HABARI NJEMA KWA WATANZANIA WOTE. Tunazidua huduma mpya ya KIBUBU! Sasa unaweza kupanga safari yako mapema na kulipia tiketi yako kidogo kidogo hadi wiki moja kabla ya tarehe ya safari yako. Hii huduma ni kwa wateja wetu wote na ni kwa safari zetu zote za ndani na nje ya nchi. Huduma ya KIBUBU inapatikana kwenye ofisi za Air Tanzania tu. NB: Vigezo na Masharti kuzingatiwa. #FlyAirTanzania #Kibubu

Category

Show more

Comments - 1