Duration 31:50

UJUMBE MZITO WA DC JOKATE KWA RAIS MAGUFULI : NACHAPA KAZI KWA HESHIMA YAKO/ NILIITWA SISTER DU

33 985 watched
0
297
Published 6 Jun 2020

Ikiwa ni takribani miaka miwili sasa tangu uteuzi wake uzue gumzo kubwa hapa nchini, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo anasimama katika Msumari wa Moto huku Charles William na David Rwenyagira wakihakikisha majibu ya maswali mbalimbali yanapatikana. Karibu uweze kutazama mahojiano haya kutoka wilayani Kisarawe, mkoani Pwani katika kituo cha kazi cha DC Jokate Mwegelo

Category

Show more

Comments - 46