Duration 10:41

MIAKA 60 YA UHURU, Mkuu wa Chuo Cha Ukamanda na Unadhimu Brigedia Jenerali Ghuliku Aelezea Mafanikio

11 447 watched
0
77
Published 24 Nov 2021

Kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Nchi ya Tanzania Mkuu wa Chuo cha Ukamanda na Unadhimu (CSC) Kilichopo Duruti Jijini Arusha Brigedia Jenerali Sylvester Ghuliku ameelezea namna ambavyo Chuo hicho kimepiga hatua katika utoaji Mafunzo ya Makamanda na Wanadhimu wa JWTZ pamoja na Majeshi mengine yanayohudhuria mafunzo chuoni hapo. Unaweza kutazama kwa urefu alichoongea kupitia YouTube Channel yetu ULINZI CHANNEL Tufuatilie pia upande wa Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la Wizara ya Ulinzi na JKT. Website www.modans.go.tz

Category

Show more

Comments - 1