Duration 16:22

BINTI MLEMAVU ANAYEANDIKIA ULIMI AKIRI - NINA MPENZI, ANATAKA KUNIOA, Kuhusu MIMBA Mh”

573 363 watched
0
2.5 K
Published 24 Nov 2019

BINTI MLEMAVU ANAYEANDIKIA ULIMI AKIRI - "NINA MPENZI, ANATAKA KUNIOA, Kuhusu MIMBA Mh” Simulizi ya binti Wakonta Kapunda, mwenyeji wa Sumbawanga nchini Tanzania inaeleza mengi. Kwa kumbukumbu, ilikuwa ni Februari 3, 2012 siku ambayo walikuwa na mahafali ya kumaliza kidato cha sita katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Korogwe jijini Tanga ndipo ajali mbaya iliwakuta wakiwa wanafunzi tisa baada ya mwenzao mmoja kuingia ndani ya gari la ndugu yake aliyekuja kumtembelea na ghafla gari hilo lilianza kurudi nyuma kwa kasi ndipo walipokutwa na majanga hayo. Kuna mengi yanaendelea mitandaoni, kuhu mimba na mapenzi katika hali aliyonayo ya ulemavu wa mwili mzima..... Global TV imezungungumza naye EXCLUSIVELY...kafunguka kila kitu...... #WAKONTA #BINTIMLEMAVU #MHAMASISHAJI #ULIMI YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: /playlist?list ... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:/playlist?list ... GLOBAL RADIO TV:/playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEW:/playlist?li

Category

Show more

Comments - 491