Duration 8:33

SIJAFA NIPO HAI SHEIKH NURDEEN KISHK. UJUMBE WAKE LEO TAREHE

23 757 watched
0
474
Published 6 May 2020

Leo Tarehe 6/5/2020 yamezushwa maneno kwenye mitandao ya kijamii kuwa Sheikh Nurdeen Kishk amekufa, na hii imetokea baada ya Sheikh Nurdeen Kishk kupost picha ya msiba wa sheikh Kilemile wakiwa pamoja katika picha iliyotumwa katika mitandao ya kijamii ya sheikh kishk. SHEIKH KISHK YUPO HAI MZIMA WA AFYA KABISA TUZIDISHE KUMUOMBEA DUA

Category

Show more

Comments - 173