Duration 3:39

USIKATE TAMAA

56 841 watched
0
468
Published 23 May 2021

Wimbo ulioimbwa na Lawrence Kameja. Huu ni wimbo unaotukumbusha kwamba hakuna nguvu yoyote inayozidi nguvu ya Mungu. Tunapokutana na matatizo katika maisha yetu, tusikimbilie nguvu za kibinadamu, bali tumtazame Yesu kwani yeye anaweza yote. Haijalishi ni shida kubwa kiasi gani, ukimwendea Yesu atakusaidia na hakika tatizo lako litaisha. Wimbo huu umetungwa na Ray Ufunguo na kurekodiwa katika studio za RAJO Productions #rajoproductions #miminaneema #kwayakatoliki

Category

Show more

Comments - 108