Duration 4:8

Simba FC 1 - 0 Al Ahly, wee Luís Miquissone utaua, pira biriani hatari

32 349 watched
0
61
Published 23 Feb 2021

Timu ya Soka ya Simba kutoka Tanzania, imeendelea kutamba kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika baada ya kuwatandika washindi wa tatu wa Klabu za Soka Duniani Al Ahly kutoka Misri kwa bao 1-0 kwenye dimba la Mkapa jijini Dar. Huu ni mchezo wa pili kwa Simba kushinda baada ya ule wa ugenini ilipoitungua tena AS Vita ya Congo kwa bao 1-0 ugenini. Kwa ushindi huo, Simba wanarejea kileleni katika kundi A baada ya kufikisha pointi sita wakifuatiwa na AS Vita wenye pointi tatu sawa na Al Ahly ambayo ipo nafasi ya tatu na ina pointi tatu huku Al-Merriekh ikiwa nafasi ya nne ikiwa haina pointi hata moja. Tovuti @BMG BLOG https://www.bmgblog.co.tz/ Facebook @BMG HABARI https://web.facebook.com/bmghabari Twitter @bmghabari https://twitter.com/bmghabari Instagram @bmghabari https://www.instagram.com/bmghabari/ #BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI #PamojaDaimaBMG

Category

Show more

Comments - 9