Ofisi ya Wakili Mkuu wa serikali imetoa ufafanuzi juu ya sheriaa inayotoa ruhusa ya kuwanyima dhamana watuhumiwa wa makosa jinai yakiwemo mauaji, uhaini, usafirishaji wa dawa za kuleya utakatishaji wa fedha na ugaidi.
Ufafanuzi huo umetolewa leo Agosti 06, 2020 jijini Dar es Salaam wakati Wakili Mkuu wa serikali, Gabriel Malata alipozungumza na waandishi wahabari kama anavyoeleza mwandishi wetu Upendo Michael.
#AzamNews #AzamTVUpdates #WakiliWaSerikali #Wakili #jinai
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz