Duration 26:54

KIKOBA KINACHOKOPESHA MAGARI,VIWANJA CHATIMIZA MIAKA 5- DATA VIKOBA

759 watched
0
11
Published 11 Nov 2019

yapata miaka mitano tangu data vikoba ianzishwe na hatimae wanachama washerehekea mafaniko ikiwemo kusomesha watoto, kupata viwanja, kujengewa nyumba, kununua magari, bodaboda nk. Mama Sihaba atoa wito kwa wajane na wasichana wenye kuishi kwenye mazigira magumu kujiunga na mafunzo ni bure kabisa

Category

Show more

Comments - 6