Duration 25:36

LIVE | MBEYA KWANZA 0-1 GEITA GOLD | UCHAMBUZI NA SHEREHE ZA UBINGWA | FAINALI FDL

15 927 watched
0
65
Published 30 May 2021

GEITA GOLD BINGWA WA FDL 2021: Hatimaye timu ya Geita Gold Sports imeibuka na ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza kwa kumchapa Mbeya Kwanza bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliochezwa leo kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam. Sikia hapa walichokisema makocha wa timu zote mbili baada ya mechi, Fred Minziro na Steven Matata, lakini pia tazama sherehe za mabingwa wakikabidhiwa tuzo na kombe lao Tufuatilie pia kupitia mitandao yetu mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 4