Duration 11:47

Nyumba mpya ya HAMISA mobetto yaibua makubwa Watu hawataki kuamini wanacho kiona

87 875 watched
0
451
Published 20 Jan 2020

#hamisa #nyumba #mwendokasitv Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu. FOLLOW US Follow on Instagram: https://www.instagram.com/mwendokasitv/ Follow on Facebook: https://web.facebook.com/mwendokasimedia/

Category

Show more

Comments - 131
  • @
    @ashapearubart26244 years ago Ina bidi tuamini. Kwamaana anajituma. Hongera sana. 14
  • @
    @sarawaziri44004 years ago Katka kitu huwa nafurahia, ni mafanikio ya waleakuinue zaidi ya hapo. 21
  • @
    @hassangabriel46034 years ago Let her prosper. Made more live long hamisa from kenya bgapu sana. 8
  • @
    @mwanahalimamwachili96794 years ago Mabrooq alf mabrooqkusema ni kwao na hawachaguliwi la kusema. Hongera sana. 2
  • @
    @shekhafilfil1634 years ago Hongera sana misa bado mdogo sana hamisa kumiliki nyumba hongera mwari. 5
  • @
    @halimams21274 years ago Hongera sana hamisa mungu hamtupi mja wake ubarikiwe sana uzidi kusonga. Mbele mama. 1
  • @
    @baranmohamedmbashir52994 years ago Mungu akupe afya njema inshallah akubariki inshallah. 1
  • @
    @halimahalima48924 years ago Honger san dad hamish mung atakuxmamia waache waxme we fwat yako. 3
  • @
    @masharubundevu37654 years ago Mungu akuongoze akufanyie wps kwa kila jambo. 1
  • @
    @salomessmart98143 years ago Hakika mungu aendelee kukuinua zaidi hamisa.
  • @
    @sadiaabed66874 years ago Watu hawaamini kwa hamisa maana anapenda kiki sana kama gari ya kiki lakini itakuwa vizuri mama diamond atahayari ikiwa itakuwa ana nyumba huo jamisa isijeikawa nikiki. 2
  • @
    @zainabubanda76834 years ago Nampenda uyu dad anavo pangilia mavazi. 1
  • @
    @olgacaleb27904 years ago Hamna cha mjengo wala nini. Ila me hua nakuaminia dada kwa kazi yako nzuri but kwa hili litakupa uongo shogangu mchengo apo amna. 1
  • @
    @celinekanda18504 years ago Wewe mnafki ulisema misa hana chochote for you info shez going to launch mobetto hairs. 3
  • @
    @khadijaoman40854 years ago Pongezi kwake maana wasanii wengi wanahiyari wakodi majumba ya kifahari kuliko kujenga hususan wasanii wakike akili zao zote zipo kwenye maurembo 2 na sifa za kijinga. 9
  • @
    @najmaanajma11954 years ago Mabrook alfu mabrook allah akuzidishie rizki yako bila hisab amin yarabiy. 7
  • @
    @neemaberny35984 years ago Haya mwenye nyumba akijitokeza mtutangaziewa bongo bana mnashindwa kuwa proud na kile cha kweli mlicho achieve ukweli mpka mdanganye! Si useme tu nime make nimehamia nyumba bora zaidi. Kazi kwelikweli.
  • @
    @arafajabir31944 years ago Hongera yake hamisa yaliyompata zarina hassan kwa nyumba na hamisa yamempata allah kareem mungu ni mwema.
  • @
    @ashulamusin98114 years ago Safi mama mkwe wako akajifiche chini ya jiwe nawale wote waliokua wanakuita maskini.
  • @
    @zulfamohamed45494 years ago Vizr kama amejenga amemaliza nivizr maan kwenye habar yanyumba amemaliza bas atafanya mambo mengine t. 3
  • @
    @mikarospius80844 years ago Yaani mnaonesha hotel za watu eti nyumba zenu. 2
  • @
    @zakyahya46454 years ago Km kweli kama uongo kama kajenga kama kanunua iyo ni sehem y life yake binafsi ainishtui.
  • @
    @mlasinyongolo32564 years ago Ajenge asijenge, anunue asinunu misa madame hero ktk maisha yake.
  • @
    @hassanmmacha79164 years ago Kwani kk zimeisha eti nyumba ya hamisa kwani nyinyi waandishi hamna habali za kuandika. 1
  • @
    @katurukiladispensary53694 years ago Kweli maex wa diamond kaz wanayo pia wana jeur hawapend dharau kabisa wanaamua kujenga nyumba zao, tunamsubir tanasha nae, na alivo mlendamlenda. 9
  • @
    @st.schogg67724 years ago Wao, god will bless me to i complete mine. In jesus name. 1
  • @
    @passionlove19924 years ago Anaejua huyu mdad anatumia jina gan insta, naomba aniambie.
  • @
    @kessynurutajiri30754 years ago Jamani tumechoka kupigwa changa la macho, kwenye pati yake ya kuzaliwa tulionyeshwa gari ya maonyesho. Ili tumwamini atuonyeshe hati ya nyumba, vinginevyo hatumwamini ng' o. 4
  • @
    @celinekanda18504 years ago Alihamia hapo december for your info mlimsema sana wee mnafki. 1
  • @
    @halimabakari50784 years ago Kama na wewe unamsubiri lokola ajehill, please gonga like yako hapa. 1
  • @
    @fetychina32734 years ago Ww mtangazaji acha umbea ulitoa rist ukasema hamissa hajapata mafanikio katia mwaka ulio isha? Na ukasema huwa ana piga dili za bule? Haya sasa leo kachukue wembe unyoe. 4
  • @
    @kessynurutajiri30754 years ago Sasa kuonyesha hako kamguu halafu unajificha ficha nini? Si umeamua kuonyesha utupu. 3
  • @
    @evancedaniel73224 years ago Mbona hata ww kama una kinyongo ss duh.
  • @
    @dorislema18144 years ago Uyo mtoto kafanana na lulu kama wake aise.
  • @
    @ifgodsayyes.nobodycansayno17964 years ago Mkiji bleach jipakeni hata magoti mkorogo. 1
  • @
    @RekhaRekha-es8br4 years ago Angaliya washamba haha muna nuka hebu toweni mecap manyani.
  • @
    @shekhafilfil1634 years ago Binadamu huwawezi anaesema hivo yeye anayo midomo tu. 2
  • @
    @RekhaRekha-es8br4 years ago Washamba mara hijambu mara uleve washamba waemrevurevu shwa na wahindi.
  • @
    @mariamukajiru18984 years ago Hawaamniniki hawa kwakuonyesha nyumba za watu, wema alisema amejenga nyumba yake 400mil mwisho wa siku mwenye nyumba kajitokeza na kumtupia vitu nje. 3
  • @
    @ntamugabobizi45804 years ago Siwezituma inia bwana waleo naye ajifuze hakiri aje ge ka kuwe ka dogo kake kesho asikose kondi tena wamucheke.
  • @
    @sponsor78824 years ago Alafu anze kutusumbua na hela kodi mwakani.
  • @
    @mwansaflorence68624 years ago Hicho ndokwako hamisa uongo, mara umenunua range kumbe kakodi.
  • @
    @erlinghaaland94124 years ago Baba ako mobeto kiboko kadanga mpka kajenga nyumba yake. 3
  • @
    @nurumunguakutangurirabdull44724 years ago Naikweli basi maana wamitaan bado hatujaongea kitu kama kweli tunashukulu. 1
  • @
    @aminajuma29814 years ago Tutajua tu apo baadae atoe wapi nyumba yake. 1
  • @
    @nuurinkluge75844 years ago Some of tansania women they like only fake life.