Duration 27:15

LIVE: MSTAAFU MWINYI AWAVUNJA MBAVU RAIS SAMIA, MAMA JANETH NA KIKWETE, HOTUBA YAKE NI TAMU KWELI

118 134 watched
0
658
Published 26 Mar 2021

🔴#LIVE: MSTAAFU MWINYI AWAVUNJA MBAVU RAIS SAMIA, MAMA JANETH NA KIKWETE, HOTUBA YAKE NI TAMU KWELI! MWILI wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, unatarajiwa kupumzishwa kwenye nyumba yake ya milele, Leo Machi 26 huko Chato Mkoani Geita... Mazishi hayo yamehudhuriwa na viongozi wastaa wakiwemo Marais wa awamu ya Pili, AL Hassan Mwinyi na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 151
  • @
    @queenkileo36983 years ago Bless mzee wetu. He still got the sense of humour! 21
  • @
    @davidsalikoki63193 years ago Kama na wewe ulitaman aendele twende sawa like. 39
  • @
    @muhammadsaidi48723 years ago Allah ampe siha na afya baba mwinyi na ampe mwisho mwema yarab amin yarab shukran sana maneno mazuri yenye hikma sana. 9
  • @
    @ibba80823 years ago Hata namuona mama janeth angalausana mzee wetu. 23
  • @
    @johanajoseph8783 years ago Raha sana kumsikiliza mzee wetu jamani, siku mojamoja apewe nafasi aongee na wananchi wake, tusisubiri siku tukimkosa jamani, maana maisha yana mwisho. So loveble babu. 6
  • @
    @bintmohamedmalevi37713 years ago Poleni sana ndungu
    mzee anatufanya tucheke msibani.
    11
  • @
    @aminatanzanya74753 years ago Mungu akupe maisha maref mzee mwinyi leo tumekuw happy kidg kwa ajili yako. 8
  • @
    @Brain79123 years ago Umetufariji kwa kipindi hiki kigumu kwani maneno yako ya hekma yametupa faraja na nguvu mwenyezi mungu azidi kukupa nguvu hekma na busara kwa uwezo wake (amen) 4
  • @
    @violetmageto71343 years ago Nimeipenda hotuba yake. Anaongea kwa heshima sana na hekima. 18
  • @
    @nully1233 years ago Allah akupe afya na umri mrefu mzee wetu nampongeza pia bodyguard akijaribu kumsaidia. 11
  • @
    @raymondmchani84933 years ago Thank you mzee wetu rais mstaafu a. H. M for giving us laughter during this hard times for most of usthe rest of world who believed on our beloved mwendazake. 22
  • @
    @thomasmartinez7863 years ago Mama siti uko pale ningemuuliza wapi hapamiaka mingi mzee wetu mungu akulinde. 19
  • @
    @ashimaaurassa81753 years ago Mungu ailaze roho ya jpm mahalia pema peponi. 7
  • @
    @cefinelgon25483 years ago Raha sana kuwa na wazee waasisi wa taifa. 12
  • @
    @ponsianamataka46073 years ago Asante baba mzee mwinyi. Nakuona jinsi ulivyo mnyofu kutoka ndani kabisa ya moyo wako kama mtoto mdogo na speech ni nzuri sana. 2
  • @
    @nellyelias203 years ago Safi sana mzee wa ruksa kwa kusema ukweli umenifurahisha sana.
  • @
    @sweetluc26603 years ago Asante mzee wetu mwinyi kutufanya tucheke kidogo baada ya kulia kwa wiki zima. 8
  • @
    @pendaelimolell35103 years ago Asante mzee wetu afadhali mama janeth kapata furaha kidogo. 4
  • @
    @sweetluc26603 years ago Baba hayati raisi wetu wanyonge amewainua leo tumecheka kidogo mzee wetu mwinyi mungu azidi kukutunza. 9
  • @
    @kennedysalanomashairi71873 years ago Rukhsa! Twakuheshimu mno afrika mashariki rais mstaafu mwinyi.
  • @
    @sameerahmed28383 years ago Man of the match kwenye team ya waombelezaji. 5
  • @
    @rekidiusalexander15423 years ago Great god bless you mwinyi
    r. I. P mr president jpm
    akika tutakukumbuka daima.
    6
  • @
    @marianelmi61683 years ago Maashaalah tabaraka
    what are decent man.
    5
  • @
    @agnessmpogole14343 years ago Ubarikiwe sana mzee umetufanya tucheke kidogo. 1
  • @
    @hajishabani79573 years ago Hotuba ya dhati kabisa. Bila unafki ndani yake kawa yule. Mungu akubariki mzee wetu mwinyi. 10
  • @
    @vonethaleonard1723 years ago Asante saana baba mwinyi na hekima ya nchi yetu. 1
  • @
    @alzainaalaghbary55603 years ago Mzee wetu allah akujalie kila la kheir na akuhifadhie mama siti.
  • @
    @leiratykisura67183 years ago Allah ampe maisha malefu mzee mwinyi in sha allah ametupa faraja na bahada ya wiki mzima tunaria reo ametufanya tumecheka allahmdulillah. 4
  • @
    @florakweyunga44903 years ago Nikweli ulimpenda maguful mzee wetu. Mungu akupe nguvuna afya ya roho na mwili. Umeongea ukweliwakupe muda mwigi. 3
  • @
    @bazilizakaria1433 years ago Dah asante raisi mstaafu kidogo na mimi nmecheka. 1
  • @
    @nickodemsimchimba5943 years ago Daa mzee chochote kinachopita mbele yake anaongea tu. 16
  • @
    @meena-ol6fo3 years ago Umetufariji baba tumelia sana mzee rukhsa we love you. 1
  • @
    @jonasmaganga73023 years ago Kwa mara ya kwanza nimeona body guard anacheka. 6
  • @
    @Ramadhanimsingwa3 years ago Mungu akikupa busara na hekima hadi uzee ni kumshukuru hongera raisi mstaafu.
  • @
    @focuseric41093 years ago Ndugu zanguni watanzania wazalendo tumuombee mzee wetu mwinyi mungu ampe maisha marefu lkn leo hii mzee mwinyi amenichekesha sana! Yupo chato lkn kasahau jina la mahali alipo akamuuliza mama siti mwinyi nimecheka sana! 15
  • @
    @adbashtv67013 years ago Mzee kafanya kazi nzuri mno kumtabasamisha mjane.
  • @
    @neemakoka5993 years ago Mzee havai hata miwani dah kweli mungu kampendelea. 23
  • @
    @ramadhanikamaka38393 years ago Mzee mwinyi hakika wewe ni zaidi ya jembe, umeleta faraja kubwa sana kwenye msiba mkubwa, inshallah mwenyezi mungu akupe afya tele mzee wetu.
  • @
    @nasramaulid38283 years ago Mzee wa ruksa allah azid kumuweka jaman. 2
  • @
    @khamikhan48053 years ago Mzee ana hekma kubwa allah ampe afya njema. 7
  • @
    @shamomar6293 years ago Miaka 96 na havai miwani! Allah amlinde na afya njema.
  • @
    @gloriamasaka76353 years ago Tunaomuobea sana raisi samia. Mungu help tujali wanyonge na wenye mahitaji yatima wajane na wageni. Mathayo 25 na isaya 58 inatufundisha kujitayarisha . ...Expand 2
  • @
    @helensusana20263 years ago Marais wa inchi ya tanzania wote ni wa maneno ya busara, vijana igeni mfano huo. Jpm nenda salama tutakuombea. 4
  • @
    @magrethandrew95033 years ago Hii hotuba natamani kuirudia hata mara 100, imetufuta machozi kwa kweli ina ukweli mtupu, mungu akubariki babu. 1
  • @
    @wilrickshayo81443 years ago Ngoja kwanza kijana wanguu hapa ni mjinii.
  • @
    @marygustaph36493 years ago Mama siti panaitwaje vile hapa, mungu akutunze mzee wetu, umetufanya tutabasamu japo tuna majonzi, rip magufuli ) 3
  • @
    @josephjohnmagesa82563 years ago Mzee ajavaa miwani, amesimama dakika 25, dah balaa. 2
  • @
    @AliJabir-xi4em3 years ago Mama siti hapa tupo wapi hahahaha mwinyi kanivunja mbavu. 6
  • @
    @sifasanga78663 years ago Mwinyi umewashinda wote, mama janet leo kafarijika. Ulikua wapi babu wa mie jamani. Ametabasamu leo mama etu sababu yako. 2
  • @
    @madamboss3483 years ago Wazee kama hawa ndio sudi khalwale wa kenya mungu sijui kenya tuligwama wapi.
  • @
    @benjaminjoseph17473 years ago Huyu mzee nampenda. Hana wivu ka wengine. Sio mara ya kwanza kukiri kwamba magufuli ni mchapa kazi, amefanya mambo makubwa na mazuri kwa muda mfupi kuliko sisi tulioongoza miaka 10. Mungu akulinde na kukubariki mzee wetu. 6
  • @
    @amanichanga34483 years ago Raisi pekee ambaye bado yupo kwenye hela, sh 50. 8
  • @
    @vincentmushi12473 years ago Mungu azidi kukupa uzima babu yetu wa taifa, mzee ruksa, haki hotuba yako ni faraja kubwa kwa wafiwa na taifa zima
    yaani nimecheka mpaka basi, mpaka hamna miwani wala mkongoja
    babu oyeee
    .
    ...Expand
  • @
    @mahesenitunduma24383 years ago Eti mama siti yuko mbali ningemuuliza hapa panaitwaje! 3
  • @
    @allymwazoa63013 years ago Siku moja ukasema ngojakatika mazoezi miaka yote kila asbh nakimbia maili tano. Leo nimeona uimara wako bado hushikwi mkono wala hushiki bakora. Mola akuweke mzee mwinyi.
  • @
    @saidbissama92303 years ago Mama siti ndo mkalimani wa mzee mwinyi. 3