Duration 23:13

“HUYU NIMEMSAMEHE USIRUDIE, FEDHA ZA BURE ZITAKUHARIBIA”- JPM

1 349 watched
0
5
Published 11 Jun 2020

Rais Magufuli ametangaza kumsamehe aliyekuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, kutokana na kiongozi huyo kuomba msamaha. Rais amesema licha ya kumsamehe, hatomrudisha Zimamoto, badala yake atapangiwa kazi sehemu nyingine. “Nimeangalia kwanza mnavyopendeza na nyuso zenu zinanionyesha kwamba mmetubu, nimewasamehe leo, aliyekuwa Kamishna wenu simrudishi ‘Fire’ lakini nitamtafutia kazi ameshaniomba msamaha mara nyingi, yaliyopita si ndwele” Rais Magufuli Subscribes:/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:/c/KidaniStars

Category

Show more

Comments - 1