Duration 38:55

NAMNA YA KUSIKIA, KUTAMBUA NA KUIPAMBANUA SAUTI YA MUNGU (7) - Mchungaji Carlos Kirimbai

11 296 watched
0
109
Published 29 Mar 2019

Semina ya Neno la MUNGU, iliyofanyika Kilongoni, wilaya ya Mkuranga mkoani pwani, tarehe 21/1/2019 hadi 3/2/2019 Ili kupokea mafundisho kama haya unakaribishwa kushiriki ibada kanisa la MANNA TABERNACLE BIBLE CHURCH (MTBC). Kanisa linakutanika Posta mpya mtaa wa kisutu jijini Dar es salaam, Ukumbi wa shule ya msingi Kisutu. Tunakutana kila jumapili kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 7 mchana. Tunashawishika kukutangazia Maisha yako hayatabaki kama yalivyokuwa.

Category

Show more

Comments - 18