Duration 3:57

SERIKALI KUZINDUA KAMPENI MAALUM DHIDI AFUA ZA KINGA YA UVIKO-19:

77 watched
0
0
Published 19 Dec 2021

Katika Mpango Shirikishi na Harakishi awamu ya pili dhidi ya afua za kinga za kinga UVIKO-19, zinaelekezwa timu za afya katika Halmashauri na Mikoa kuendelea kuwatumia Wahudumu wa Afya ngazi ya Jamii ili kuendelea kuhamasisha na kuelimisha jamii juu ya hatua mbalimbali za kujikinga na UVIKO - 19 ikiwa ni pamoja matumizi ya chanjo.

Category

Show more

Comments - 0