@elijahgikuyu94775 years agoBro you stand for the truth no matter what bigup, am your biggest fun in.
@
@frankanthony85915 years agoAhsant kaka kama unamkubali gonga like tusonge mbele. 81
@
@luthankings43584 years agoJamani leo ni sikunjema nadhani yesu ameshakwisha fufuka kama unakubaliana nami usiache ku like. 1
@
@seifkhatib45125 years agoJamani naomba like japo kidogo kama mnamkubal huyu jamaa km nnavo mkubali mm. 61
@
@joycemalongo90505 years agoThe best presenter in tanzania and media presenter, naomba like ya kutosha jamani. 36
@
@hassanovajunior69725 years agoDaah aisee ubinadamu kazi shukran sana genius ananias edgar denis mpagaze may god bless you guys. 24
@
@benjaminmwiti81134 years agoMungu na akulinde kaka zababu mungu anakutumia kuondoa ujinga kwa wanao kusikia. 1
@
@damariszuckschwert94895 years agoI salute you formaskini in the name of jesus, utafikiri mungu hulipa ushuru mbinguni au pango la kulala. 7
@
@rehemafungo50424 years agoSio wote waniitao bwana wataurithi ufalme. Thx ananias.
@
@luthankings43584 years agoKaka kama unajiamini we nimwanaume uxiach ku like. 1
@
@luthankings43584 years agoNdugu zang ninaiman ya kuwa mungu upo nasi katika pasaka hii. 1
@
@eliphasedward90762 years agoUnajua kunifurahisha ananias edger pongezi kwako.
@
@alexanderbonnysimiyu86355 years agoSi ungwana hata kidogo kutazama na kujifunza kisha uache ku-like ama kucomment. 24
@
@lordreuben57875 years agoMungu awabariki sana muandaaji na mtangazaji mko vzur mnaitendea haki kipaji ambacho mungu kawapa, na kwa stahili hyo mnatuponya wengi hata bila ya nyie kujua. 1
@
@kaundimemussa11875 years agoNaipenda sana sauti yako nasikilizaga story zako mpaka nalala usingizi. 4
@
@onesmobruno46364 years agoYani nashindwa hata kufuatilia ishu ya corona19 muda wote ni huyu jamaa napenda sana stor zake zinafundisha vzr. 1
@
@luthankings43584 years agoMaan mvua inanyesha ninaimani ni dalili njema lakini kama na wewe unaamini ni dalili njema uxiache ku like. 1
@
@mathiaszakaria70525 years agoDahh mungu atupiganie huduma za kiroho zimevamiwa na matapeli wanaojiita wachungaji na manabii.
@
@sethnsohoye12205 years agoHongera kufanya kazi nzuri, mungu aw naww kila wkt juu ya kazi yako hiyo. 9
@
@brayansteven26845 years agoVery nice asante sana brother kwa mafundisho mazur. 1
@
@BenMula5265 years agoBaba mwisho wa kihama tuta shagaa mungu atusaidie ubarikiwe brother kaka.
@
@mulirohilary2095 years agoKweli kabisa mpagaze tarsis za dini siku hizi balaa maisha mazuli ni ya waku wadini tuu asante.
@
@grayrichard18155 years agoMi sitaki like zenu kwan n chakula au n malipo? 3
@
@elibarikielikana18245 years agoHakika mmmh kweli watumishi tuwe macho nimejifunza kitu kikubwa mno ubarikiwe. 2
@
@jacksonngusi41225 years agoAhsante sana kaka ujumbe mzuri mno ubarikiwe. 4
@
@richardswai52065 years agoIvi unajua annanis edga ungekuwa mchungaji au askofu wengi ungewaumbua xana maana xiku hiz makanixa ndy biaxhara. Kama unaamini ivo gonga like. 2
@
@rehemamaduhu56425 years agoTena hilo la kanisani kama ukiwa na pesa unapokelewa tangu mlangoni na unaoneshwa kiti cha kukaa. Mbele kabisa ila ukiwa kapuku utaachwa utafute kiti kwa akili yako. Ukikosa ukae chini. 5
@
@amosmahona4334 years agoMnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni fanani kiukweli uko vizuri sana katika uwasilishaji wa simulizi yako.
@
@onesmobruno46364 years agoYani naweka kila cku gb3 kwaajili ya huyu jamaa. 2
@
@eliankya19915 years agoMessage sent broo thanks for good message. 1
@
@hamzanasry80114 years agoYani umewachana kweli mwenye maskio ambiwi skia. 1
@
@fadhilikazingo12615 years agoKaka yangu wa kibondo unanifrahisha sana. 1
@
@johnny.j.nyondo10744 years agoSafira na anania lakini sio mimi hahahahaha. 1
@
@ramaccr75255 years agoAkuna mtangazaji kama ww tanzania nzima. 3
@
@suzybae12375 years agoKwel jmn napenda sana ujumbe wako mzuli. 1
@
@thadeymallya23825 years agoApriciate you much bro. You are unique ever! 1
@
@barakajulius59385 years agoKaka nawewe unastahili kupewa tuzo ya heshima. 5
@
@godfreymagoso53345 years agoIla waumini tujitafakali tunatumika kweli siku hizi kutokana na stresi zetu, mungu atunusuru. 1
@
@francisjm74164 years agoNapenda sana makara yako hua naelimika sana.
@
@davidmpiluka52245 years agoHapo sawa. Hakuna ubishi hapo. Anayebisha anyooshe mkono wake ili tuone ana akili ya namna gani? 1
@
@lilianakimaro41855 years agoMwezi wa 12. 20019 bad tupo jmn. 5
@
@ramadhankijana94425 years agoDah kanisa kimbilio la kila mtu. mungu awaona. 4
@
@user-em6bg9ue2d5 years agoNapenda sana habarizako zinamafunzo sana. 2
@
@dudleyjulius91875 years agoKaka ananias uko poa na mm pia nmtangazaji nataka kufanya kazi uhai media naomba namba zako tuongee plzz. 7
@
@felixwao72744 years agoBro fungua kanisa mana dah we nizaidi ya wachungaji.
@
@tuntufyekapesa39015 years agoAppreciate you bro. ila ishu ya alph lukau i wish uifuatilie ile video full sio clip tu iliyozagaa mitandaon. sabab alivofika tu alisema huyu mtu yuko hai na hakusema amemfufua kabisa. 2
@
@phedriclhusna39495 years agoAnanasi i wish nkuone yan ur voice so sweat. 1
@
@godfreymagoso53345 years agoSidhani kama watakuelewa zaidi watasema wanapigwa vita, na shetani anainuka ili kushindana na kalama zao, ila wajutafakali japo manyumbu (wagalatia) ni kufuata hata mpagani anaelewa kuliko manyumbu tusiochuja. 1
@
@ndihunzefx_tz11745 years agoKwa mwenye maradhi ya kisukari nakupitia whatsapp namba 0765871955, kuna uwezekano wa kupona kabisa! Kwa muda wa siku 14 tu! Kwa uwezo wa m. Mungu, wahi sasa nafasi za ofa ni.
@
@cghmarcb65634 years agoKanisa skuizi ndio headquarters ya wahalifu.
@
@eunicechege4 years agoWalihamisha mji wa serikali nasikia sasa uko dodoma. Naweza pendadiscussion about that. 1
@
@mimiwewe35475 years agoHahah account yako feki ina followers wengi kuliko yako original. 3
Related videos for DENIS MPAGAZE-WATUMISHI WA MUNGU MJITATHIMINI:
bad tupo jmn. 5
kanisa kimbilio la kila mtu.
mungu awaona. 4
ila ishu ya alph lukau i wish uifuatilie ile video full sio clip tu iliyozagaa mitandaon.
sabab alivofika tu alisema huyu mtu yuko hai na hakusema amemfufua kabisa. 2