Duration 2:22

SHULE ZA WASICHANA TANGA ZIWE NA MAJI.

108 watched
0
1
Published 22 Dec 2021

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima, amemuagiza Meneja wa Ruwasa mkoa wa Tanga kuhakikisha wanafanya mikakati kupata maji katika shule zote za wasichana zilizopo Mkoani humo. Malima ameyasema hayo alipotembelea katika shule ya Wasichana Handeni na kukutana na Changamoto ya Maji.

Category

Show more

Comments - 0