Wanasayansi katika taasisi ya utafiti wa matibabu KEMRI wanachunguza dawa muafaka ya kutibu malaria kwa wanawake wajawazito. Utafiti huo unaofanyika katika kaunti ya homabay unanuia kuhakikisha kuwa dawa za malaria ni salama kwa kina mama na watoto wao haswa katika miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito.
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for | MALARIA NA UJA UZITO | Utafiti wa dawa ya malaria kwa wajawazito unaendelezwa: