Duration 7:45

UKHTY SAU - ALIE PEWA KAPEWA (Qaswida Video)

60 266 watched
0
149
Published 21 May 2021

Kile kilichopo ndani ya mwanadamu unaemuona muovu nacho kimo ndani yako wewe..!! Kama ungepitia maisha yale ambayo aliyapitia yule ambae unaemuona anatenda muovu, basi kwa hakika nawewe yawezekana hivi sasa ungeweza kuwa muovu kama alivyo yeye hivi sasa..!! Nae kama angepitia maisha mazuri kama uliyo yapitia wewe yakufunzwa katika wema nayeye angekua katika misingi ya kuwa mwema. mwenzangu unaetaka uwe kama mimi basi jiangalie vizuri na usiniangaelie mimi kiumri au kimwili nipo vipi ukapambana kizembe.... Mwenye FALSAFA za kutosha kufikiri katika maana anaweza kuelewa vile anavyoishi mwanadamu mara nyengine yawezekana si kwa mapenzi yake bali ni kutokana na vile ambavyo mifumo imemtengenezea Director one.t sina hiyana kwa madrasa yoyote ile hapa nyumbani TZ zote nazipenda. Hapo nimezungumza kwa fumbo, wachache ndio itakuwa wamenielewa lakini kwa wale ambao hawajanielewa hakuna shaka, kwa maana kama hujanielewa basi yawezekana kwa hakika kabisa hata ungenielewa wewe usingekuwa na kazi yakufanya kulidhibiti hili, kwa yule anaepaswa kufanya jambo ili kuleta mabadiliko kwa hakika amenielewa. Mawasiliano [ Director one.t ] Get Intouch Of Here Bellow One Of Our Social 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 Director one.t 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.

Category

Show more

Comments - 76