Duration 5:57

Christopher Mwahangila & Nikodem mwahangila ~ Mawazo Ya Moyo ~ Official Music Video

627 523 watched
0
1.7 K
Published 8 Jan 2020

Christopher Mwahangila & Nikodem Mwahangila ni watoto wa baba Mmoja sasa wameamua kufanya kitu kimoja. Tunakuletea video mpya ya wimbo wenye ujumbe mzuri utakaogusa Maisha yako Karibu kuusikiliza wimbo huu Usisahau Ku-Subscribe Ku-Share na Ku-Comment kwenye Channel Hii Barikiwa na wimbo huu

Category

Show more

Comments - 0