Duration 7:5

ROMA ft. Story - 2030 (Official Music Video)

1 674 754 watched
0
8 K
Published 1 Nov 2013

A BRAND NEW MUSIC VIDEO FROM NISHER ENTERTAINMENT, ROMA - 2030 - ( Official Music Video ) SHOT IN DAR ES SALAAM TANZANIA....MUSIC produced By, Ryder - Tongwe Records - VIDEO Directed by NISHER. PLEA

Category

Show more

Comments - 723
  • @
    @MohamedMohamed-fz5qh2 years ago Live long roma. It' s 2022 and it' s still the hit. 20
  • @
    @Mzee_Kobe2545 years ago I listen to this song everyday, lemmie comment. Am from kenya, but this is ile ubunifu nakubali 100% this is real, from kenya much lov, salimia sta id="hidden1"mina na ney wa mitego! Will visit tanzania nikija next vacation. Moch love east africa. From seattle, washington. Tutembelee by the way. ...Expand 4
  • @
    @nelsoncosmas56393 years ago Kama unaisikiliza hii ngoma 2121 ngonga like. 132
  • @
    @ignatiusnamema10305 years ago Lots of love from kenya team 254 thanks for passing this strong message of social ills by the government through this song. 6
  • @
    @juliusyusufu25554 months ago Kama unaisikiliza hii ngoma 2024 gonga like. 2
  • @
    @munyarubugaismailally1113 years ago Pure hip hop artist you may live longer legend all the way from namibia. 9
  • @
    @sknapoleonshoo31452 years ago Big up legendary roma!
    much respect.
    7
  • @
    @michaelmuchomerson26585 years ago Tukipata nyimbo kama hizi za kufunza na kuonyesha tulipo na tunapoenda ndo vema zaidi, kuliko kuimba nyimbo za kushikana shikana na mademu kwenye nyimbo, . ...Expand 19
  • @
    @johnnyoni694711 years ago Big up sana roma, nisher nakubali sana kazi zako mzazi, thanx for taking our music to the next level. Ongezeni bidii tu, we' re very close to get there! 9
  • @
    @eliyalaizer5554 years ago Nani tupo pamoja 2020 kama unaangalia gonga like yako tafathali please like yako ni muhimi kwng. 163
  • @
    @mohdkassim3606 years ago Still watching 2018; this song is underrated. Yet possibly one of the greatest poem that roma mkatoliki that ever panned. 10
  • @
    @dibamohamed68856 years ago In my opinion, this what i call story telling, hip hop, using music that communicates to the masses, and most importantly one of my favourite hip hop artists . ...Expand 36
  • @
    @habillahimsokela6708last year Kama unaangalia hii ngoma mwaka 2023 nipe like zangu. 3
  • @
    @jacquelinegerald506411 years ago Nisher you arekwa kuleta mabadiliko. U deserve a bet award wow. Salute kwa roma pia i love the tanzania anthem in there. 2
  • @
    @rebimbere8 years ago This guy should be a politician! Much respect. 13
  • @
    @plutoafricatv9723last year Kama waiangalia hii nyumba 2023 gonga likes. 3
  • @
    @user-hz3wh5gr4y11 months ago Kama unaangalia ngoma hii 2023 gonga like. 2
  • @
    @thomasjohn255411 months ago Kama unaangalia hili ngoma mwaka 2023 gonga like. 2
  • @
    @lucasmungai7 years ago There' s so much sense in this song that i' d write a 10 thousandword thesis on the highlighted lessons. It hurts that such good music hasn' t . ...Expand 8
  • @
    @gilbertmbwambo24445 years ago Bonge moja la future kutoka kwa mkatoliki roma kubali sana huyu jamaa na ngoma zake adimu na zenye kuelimisha jamii na kusaidia kuelimisha wananchi. 13
  • @
    @dahnlira2824last year 2023! Am on it! This record was and is fire. 4
  • @
    @neypzo8711 years ago Nisher, this is a very good work, i love the idea, the quality of the video. Keep it up man. 4
  • @
    @obagoabhiathan35655 years ago Jamani kama bado unakubali hii ngoma mwaka huu 2019 like hapa. 100
  • @
    @kelvinrichardshirima77397 years ago Big up bro
    nazikubali kazi zako kwani hujawahi kunianguxha hata siku moja.
    36
  • @
    @naijoel50227 years ago Mungu msaidie roma ili huko aliko awe hai arudi aione familia yake. 28
  • @
    @kelvinaman9002last year Huyu jamaa ni kwere hatari sana mziki anaujua. 2
  • @
    @emanuelcharles84695 years ago Huu ni mtazamo wa mbali big up roma, nani bado anaikubali hii ngoma mpaka sasa 2019 anaiangalia. 136
  • @
    @RamazaniMulongeca6 years ago I can' t get enough of this song,
    mistari ya pesa inatisha,
    " marehem ufanachake, pambana.
    10
  • @
    @salimuwhite42215 years ago Nan ataichek tena 2019 ngonga like twende sawa. 33
  • @
    @vakwawesanga7335 years ago Mungu aendelee kukupigania roma unaona mbali sana ila kuna wa2 wanataka kukufumba mdomo kuwa makn. 1
  • @
    @ashagowa9037last year 2023 baada ya kusikiliza nipeni maya yangu nmerudi kusikiliza tena hii ngoma. 1
  • @
    @redblackheart92225 years ago This talent is a gift from god.
    like zenu bado tuko tuna iyona 2019.
    26
  • @
    @habillahimsokela67085 months ago Kama unaangalia ngoma hii mwaka 2024 gonga like.
  • @
    @crazydeejay_manyi852011 years ago Kichupa kimetulia ile kinoma chini ya producer nisher ni nomaaa. 7
  • @
    @emanuelissaya10797 years ago Nakuheshimu sana roma mziki wako ni mageuzi ya kifikra taratibu tutafika kwenye mabadiliko. 20
  • @
    @LumolaSteven5 years ago Nani kaangalia hii ngoma juu ya tarehe 14 november 2019. Gonga like hapa. 17
  • @
    @godfreyorago75015 years ago Nan yuko pamoja 2019 kukumbushia utabir wa 11
  • @
    @evaristmajaliwa94283 years ago Bado natembea na mtazamo wa mwamba roma, gonga like kama unaikubal hii ngoma mpaka sasa.
  • @
    @evonwilliam30285 years ago Daa huyuu ndyee alikuwa roma cyo was sasa. 13
  • @
    @user-hs8ou6xz7elast year Nani karudia nyimbo za roma zote 2023 baada ya kusikia nipeni mauwa yangu. 1
  • @
    @isaacokasiba25186 years ago A die hard fan of the great roma mkatoliki from kenya. 12
  • @
    @chikundeboy94504 years ago Kama umekuja kuangalia tena huu wimbo baada ya roma kusema kua tuje tuangalie baada ya wimbo mpya wa madee gonga like hapa. 3
  • @
    @Mzee_Kobe2545 years ago Ndio naisikia 1st time kama mkenya, manzeh i bow. Ngoma iko juu saana. Much love from usa. 3
  • @
    @saidmungulu70533 years ago Kaka unajua san nyimbo zako zinaishi milele onelove bro. Tanzaniaa eh! 2021. 3
  • @
    @abeidjoseph15107 years ago Hip hop zote hua ni harakati hakika roma kipaji alicho nacho ni zaidi ya kipaji nyimbo zako zinanikosha vilivyo. 39
  • @
    @wizyjunior57715 years ago Bwashe mrudie mungu masanja kawa mchungaji. Kati aliyechanganya mchanga ushamfukia vivaromaviva mashairi umeyampangilia leo lizi one hafanani na makongolo da!
  • @
    @dzombotumaini63923 years ago Hii ngoma naiona mpya daily. Big up mwana.
    254.
    3
  • @
    @Jean-BaptisteOmbeni-nx6kx8 months ago Naangalia ngoma hii hadi lo 2023
    roma big up.
  • @
    @hamisimkima-un3jklast year Huyu jamaa ni mpango wa mungu ili kufikisha ujumbe kwa maharamia.
  • @
    @nassirmohammed28274 years ago Kama ubishani wa 2030 ya roma na 2060 ya madee ndo ilokuleta basi gonga like. 33
  • @
    @benjaminlaban86365 years ago Ngoma daima itaishi gonga like kama unaiskiliz december 2019. 11
  • @
    @benhorta51217 years ago 2012 + 18yr=2030 watoto wetu wanaweza wakaibadili tanzania, ngoma imebeba maono makubwa. 40
  • @
    @abdullykapole96175 years ago Kaka roma 2030 tumuombee mungu tutaona mengi nakukubali sana. 2
  • @
    @tuombesolomon38067 years ago Hakika nguvu ya ziada inahtajka kwa maendeleo ya taifa japowanatukwamixha, roma big up 2u mungu akulinde zaidi. 1
  • @
    @catundu81313 years ago Marehemu hufa na chake pigana upate chako. 1
  • @
    @recolopa59724 years ago Ujawahi niangusha. Nimekumbuka hip-hop ngumu leo. Just perfect. 1
  • @
    @user-fs8hv6tn4s4 months ago Hii song itaishii kizazi nakizazi 2024 now nauliza toka 2014 naiskiliza.
  • @
    @ignatiusnamema10305 years ago Wimbo wenye mafunzo kwa watanzania asante sana
    kutoka kenya.
    2
  • @
    @deboally80215 years ago Nani anaangalia 12/10/2019 gonga like apa twende sawa. 69
  • @
    @lutenganolukali21227 months ago Hapa ney true boy anaimba mapenzi, ujue ney alianza kujilipua akat roma alishaanza kitambo haya mambo ney kaendeleza tuu roma ndo alianza hizo issue kitambo sana.
  • @
    @miadidas79476 years ago Mungu u pam1 ila kweli tz matajili ila mkapa ndo kaichafua nchi mpaka nyerere kamuua lazima tuseme ukweli. 1
  • @
    @lennoxduketv11 months ago Na kama roma ni king nimekubali uongozi.
  • @
    @annyrwechu11 years ago Mashairi hayaendani na kilichomo kwa video. Ts so hard kufanyia video nyimbo za roma always there is something missing. 1
  • @
    @mandelatv78345 years ago Nani kaangalia 11/06/2019 roma wa sasa kalegea sana, roma wa zaman ni noma. 7
  • @
    @jayckizle4 years ago Nipo na hii msimu wa uchaguzi, watanzania hatuna uhuru tuna uwoga.
  • @
    @selemanimahangaiko25864 years ago Hadi leo ngoma naikubali 2020/05/29/////saa kama tuko pamoja gonga like 5
  • @
    @saidimazengo99344 years ago Ukisikiliza nyimbo hii kero
    zote awamu hii zimepungua.
    2
  • @
    @petermahimbo94505 years ago Ngoma inataswira chanya.
    safi roma. Natamani urudi huku.
    2
  • @
    @Abdullatif-zv2qq3 years ago Nani tupo pamoja hadi leo hii 2021 tarehe 1 january ebu twende pamoja apo roma kama roma utabaki kama roma. 1
  • @
    @emanuelotamba38634 years ago Roma nakuhakikishia ata 2031 na kuendelea bado hii nyimbo itakuwa bora vile mfano nchini tunamistu ila tuna uhaba wa madawat hata 2030 na kuendelea hili tatizo litakuwepo tu! I love i love hip hop. 1