Duration 9:16

Ali Kiba atoa sababu za kutompost Diamond na kumsupport kwenye Tuzo

330 697 watched
0
1.9 K
Published 10 Jul 2015

XXL interview on Clouds FM with B Dozen

Category

Show more

Comments - 182
  • @
    @nelsonyaanmimipittanakukub48426 years ago Alikiba Ana mashabiki kidgo ila wanafaida kwake sio wote watapenda wachache wataelewa 12
  • @
    @rashidsalum9994 years ago Kweli ww king kiba uko really sana2020 3
  • @
    @shomaryshomary48538 years ago small-minded people never stop reminding us of their achievements however small they are. ali kiba is one of those people. 5
  • @
    @lizshirusupuu82066 years ago Big up king kiba I like how u have your own principal make use of your talent well 5
  • @
    @runnyofficial28087 years ago Tanzania mzima akuna msanii wa kufananisha na kiba 20
  • @
    @marrymary45648 years ago ni kweli Ali kiba ako sawa kabisa
    .uwezi force mtu afamye chenye roho itaki..tena kila mtu na zs kwaakee
    7
  • @
    @rosekimaro19309 years ago kiba ameongea point sema tu kwa kuwa tayari anaonekana wanamatatizo bac inakuwa hivyo ninachopenda kusema hawa vijana wakae chini wamalize tofauti zao watafika mbali kwa maana wote wana vipaji 9
  • @
    @mohammedkhamis34439 years ago Jamaa kaongea point ya maana sana,watanzania waache upuuzi wakukosoa ila wafkirie jinsi ya kujiendeleza 3
  • @
    @modelegracia82089 years ago Well said!Alikba ni Gentleman mwenye hekima na busara sana!Anaongea , point kwa kuhesabu sio kuropoka!! kila kitu alichongea hapo!ni clear na wazi!Gentleman with high philosphy!He's Men enough Gentleman,He can do what the haeart wants!!He has the right & freedom!!My side l respect a lot him!na ninamkubali point zake!hata kama mnajaribu kumlinganisha au compare somewhere!!else! Who cares??kajariwa for every thing!No one can remove this gift away from him!!! pakaza!,kashifu, eti kaongea pumba! who cares?? havitamrudisha nyuma!Anasonga mbele!kwangu mie tukana,kashifu ,uwa!!l w ll be proud of him!forever! kwani maneno matupu hayazui i meli kutoa nanga na kupiga mbizi! Yeye hodari tuu!mlie tuu!chuma hicho hakipati kutu!kina ngaa na ku shine kila siku ya Mungu!! ... 9
  • @
    @elsielsee15299 years ago kiba it's your decision not a must 4
  • @
    @teenboy88804 years ago Nimemsikiza Sana King of bongo music. I salute you
  • @
    @emmanuelmipata10136 years ago ninapo msikiliza kng kiba kuna vitu najifuza 6
  • @
    @martinsbernabentadolaberna353011 months ago Vizuri sana kiba kwa kujibu vizuri kwan daimond nani
  • @
    @manallove18 years ago Nyi wote hapa ni mafala tu...i support u alikiba dont force yourself into somthing that you dont want to do!mbona yeye diamond asipost/hajawai kupost zako?usijishushe sababu ya mtu.Even me i cant post diamonds pics or latests songs wakati in reality mimi ni au siwezi post pic zako ilhali in reality mm ni .KILA MTU NA MZIGO WAKE bas!! ... 4
  • @
    @pascalkabange44798 years ago Ali kiba napenda saana muziki zako sana! Na iko powa 6
  • @
    @celinemak44869 years ago Mbona mnajianika vile mna wivu,,,,riziki mugu kampa yeye alikiba,diamond mie nawe mwenzangu,ukiwa na machungu heri kimia mbona mna wivu tele,bravo alikiba,bravo diamond mmoja na kazi yake.kama hakuenda south Africa,waumwa wapi??yakuuhusu vipi.dunia ndogo tupendane ndugu zanguni eeeee ... 7
  • @
    @ndigaian60908 years ago nachoweza kusema kukuhusu wewe kiba tu
    ujisushu Mungu aakuinue angalia mondi sana utaona tofauti ya maongezi yako
    1
  • @
    @shomaryshomary48538 years ago that's a problem of arrogant people. they always think high of themselves absent reason. ali kiba should know that things are not simple as he would want them to be. things are tough and if he continues with that self-decieving mentality of him being superior he will fall and crush into pieces. ... 3
  • @
    @ungaemedi62409 years ago hacheni Aseme yakwake Kwanini matusi hivyo 10
  • @
    @mckidagaa9669 years ago Mnao mchukia alikiba hamjui kuwa ndy anajua muziki anasauta yake sio yaku tengeneza daimondi mziki bado sana akasome tena 8
  • @
    @jfourchapembe43479 years ago alicho ongea kwa mtu mwenye akiri timamu ataelewa vizuri sana ila nyie mashabiki wa diamond acheni kumkosoa jamaa huo ni upuuzi tu mbona hajampondea diamond amkeni mnasababisha wasani wasipatane 7
  • @
    @officialnatsam9 years ago Chillah Prince we ndo umeongea kitu cha maana kuwa kinachotakiwa kwa kiba kuwa na na sio beef maana hapa kwetu beef hailipi sio kama Uganda ambapo ukiwa na beef na msanii mwenzako siku ya shindano kila mtu anaweza kupewa mamia ya mamilioni na sio huku kushindwa kusupportiana kisa tu beef. and you need to change ila nyie watu me nawapenda wote kwani kunakuwa na ushindani mzuri ambao unafanya kuwepo kwa nyimbo good. ... 1
  • @
    @adampowell35609 years ago Sikilizeni muelewe ndio mjue kwa nini kawaongelea hao akina Beckham. Kaongelea point ya msingi lakini mna akili finyu. Ikiwa yeye hakupostiwa yeye aposti vya nini? Ushabiki mwingine ! Mfanyiwe ninyi lakini ninyi kufanyia wenzenu mnabania. Msikurupuke kama mnafukuzwa. Ovyoooooo. Asiyejua maana usimpe maana. ... 16
  • @
    @sheluizonola77826 years ago kiba yuko juu ila diamond yuko juu zaidi ana mondi ananyota Kali sana hawawezi kulingana jamani ukitaka kujua uhalisia was maisha ya mwanadamu nyoosha kiganja chako kitazame upate ukweli wa maisha yetu.
  • @
    @marlyncamden9 years ago Beckham katoka England anawakilisha England even though anaishi US 2
  • @
    @aziztz61616 years ago mnajifanya mnajua kila kitu sana mamae
  • @
    @fadhilaramadhan32119 years ago Ali kiba weee fata lako kwani sio watu wote watakupenda. 1
  • @
    @nakshmsonya46607 years ago alikiba fanya kolabo na diamond itakuwa vzr sna
  • @
    @hamdanal-habsy7455 years ago ameiba jina la wa2 🤗 Ye baba co yakooooo 1
  • @
    @saidrashid12309 years ago Daah ilo swali meshindwa kujibu " POLE" 2
  • @
    @tunsumegideonmwamboneke96397 years ago hahahaaaaaa, khah david beckam whatt??????? 1
  • @
    @pollylazmartins96908 years ago kiba live ur lyf ad do ur staffs mengine baadaye hii kulinganisha mastars ndo beef ya kila kitu welcome kenya na ukitaka uishi ! kila na umaarufu wake sio story na beef kiasi tokana na hata personal lyf ya mtu!
  • @
    @judymakundi89107 years ago Yani unailazimisha yanga imposti simba! itaanzaje kwa mfano 6
  • @
    @pizzoforel24515 years ago Huyu mduanzi angalia haya maneno anavyo yachanganya yeye kamsapoti nani aliyetoka 1
  • @
    @mohamedabdallah37195 years ago ALI kiba msanii bora Tz hakuna Zaidi yake
  • @
    @veronicakamnde11706 years ago nakupnda unapambana wala huna makuu bro 1
  • @
    @mwaafricahalisi64465 years ago Jamaaa kaongea vizuri sema tz bado ni taifa moja LA Ajabu
  • @
    @mwajumamapunda6249 years ago Acha uzalendo ww kiba kwanza kujielezea ajui fanyeni kazi msogeze mziki wa tanzania ufike mbali acha uzalendo ume ulizwa swali lingine una jibu vingine
  • @
    @glowrymassawe07139 years ago +mwanaidally we ndo msemaji wa kiba nn 3
  • @
    @farajakisinda9767 years ago unanikosha mie kichuya wangu king languvu haaaaaaaahh wanakutapikia hatareee naposti zao xaxa bado wataharishaaaaaaaaaaa,,
  • @
    @abdallahmomba18997 years ago Mnatuzingua ninyi amna bifu lolote iyo michezo tu mnatuekitia 1
  • @
    @mussamalogo56406 years ago Hata uspomsuport ila humwez diamond kwanza ni internationally
  • @
    @zuhurambonde75995 years ago Nyie wote watanzania wote wanamuziki acheni chuki,wivu,ubinafsi itapendeza sana.
  • @
    @ndeshijoseph31999 years ago Ali kiba fanya yako no one gives a crap about you...wewe fanya yako na diamond afanye yake..una majivuno mno..kula jeuri yako!!! 6
  • @
    @brainsngaugula60758 years ago He david beckham anawakilisha united states jamaa kilaza 3
  • @
    @MungaiEveMediaOfficial9 years ago Ndo maana diamond kasema tumechoka na makelele yao, waambie waende walete tuzo kama za Mama....
  • @
    @wilsonuhenge8945 years ago Huyo ni fungu la kukosa aka timu majungu
  • @
    @internushkaal-adawy14659 years ago WE MNAFIKI KWANZA HAUTAENDELEA SABABU UNACHUKI MUNGU HAKUPI NG'OOO
  • @
    @emmanuelshemweta30129 years ago jibu swali brother ukizunguka mbuyu at the end utachora ZERO
    As Tanzanians, we must support each other.
  • @
    @carolynekhabamba14609 years ago Umeishaaa umebaki wivu tuuuuu utakufa kisa wivuuuuu Diamond yule yuazidi kuendelea... Macmuga ulijiimbia mwenyewe yamekufika na hata south africa hukuenda halooooooo
  • @
    @rashidahmed80714 years ago Vaa buti la jeje utoke kimziki kunguni ww
  • @
    @conlardmbatina95889 years ago dude if English is not your mother tongue language please don't force it, ur an artist kwann unaongea kiswahili kama unongea slaying? try to be yourself bro ...
  • @
    @chillahprince31279 years ago Punguza kujua ili ujuzwe zaidi usishindane na daimond tazama ulipoteleza ili usimame vizuri ,kuwa na wivu wa kimaendeleo utafika mbali mlijuana zamani jifanye mjinga mambo yako yatanyooka.
  • @
    @josephmwangomo94046 years ago huyu jamaa bwn anabifu hrf cyo mzalendo kbx