Duration 5:22

POLEPOLE AMEJIBU Kuhusu WIZI wa KURA - MAKARATASI YALE WAMEYACHAPA WENYEWE

109 932 watched
0
325
Published 31 Oct 2020

POLEPOLE AMEJIBU Kuhusu WIZI wa KURA - "MAKARATASI YALE WAMEYACHAPA WENYEWE" KATIBU MWENEZI wa CCM, Ndg. Humphrey Polepole, amewashukuru Watanzani kwa kukipa chama hiko kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kupelekea kushinda kwa kishindo. Aidha ametoa ratiba ya Rais Magufuli ambapo anatarajiwa kupokea hati ya ushindi kutoka NEC siku ya kesho, Novemba 1, na siku ya Jumatano, Novemba 4, Rais Magufuli, anatarajiwa kuapishwa rasmi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 562