Duration 13:2

MAUAJI: MREMBO AMUUA MPENZI WAKE Kwa KUMCHOMA MOTO AKIWA NDANI, ALIFUNGA MLANGO KWA NJE

84 138 watched
0
360
Published 16 Jul 2021

MAUAJI: MREMBO AMUUA MPENZI WAKE Kwa KUMCHOMA MOTO AKIWA NDANI, ALIFUNGA MLANGO KWA NJE... BINTI Mmoja jijini Dar es salaam amedaiwa kumuua mpenzi wake kwa kilichodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Mrembo huyo alichoma nyumba aliyokuwa akiishi Marehemu huku marehemu akiwa ndani ya nyumba... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 237
  • @
    @mahamoudduchi33183 years ago Kila nafsi itaonja mauti huu ni unyama usiomithilika. Nnachotaka kusema huu upuudhi wa kulichukua jitu ambalo hulifahamu hlf ety unaishi nae kindoa pika . ...Expand
  • @
    @reginaluhombo49243 years ago Jamani kila mtu anajua amebeba mawazo gani ndani ya moyo wake kama una uhakika humpendi usiwe na mawasiliano nae tena ona sasa familia imepata pigo zito ambalo halitafutika kamwe katika maisha yao. 7
  • @
    @magrethmbwiga60983 years ago Mungu atuepushe haya majanga ya dunia mungu tupe mwisho mwema. Amen gonga like kama imekugusa hii taarifa. 22
  • @
    @zainabzain34343 years ago Pole sana. Wajina wangu allah akupe subra na akutie nguvu tumuombee allah ampe kauli thabiti mbele yake.
  • @
    @dearotto84023 years ago Uwiii binadamu tumekuwa wanyama, eeh mwenyezi mungu tupe mwisho mwema. 9
  • @
    @abdallahmohamad69913 years ago Daaahh poleni sana ndugu wa marehem huko tanzania. Hakika ni jambo baya sana kwa kweli ni unyama wa hali ya juu huo kutoka kwa huyo dada. Hakika allha atalipa juu ya hlo. 15
  • @
    @nelusigwesteven9813 years ago Duuu polen wafiwa mungu awape nguvu kipind hiki kigumu. 1
  • @
    @tuliamakombe16233 years ago Ndio maan mm ctak streets na wanaume ukiona vppita pemben presha staki mungu ampuzishe kwa amani.
  • @
    @zou74703 years ago Subhanallah watu tumesha kuwa naroho za kinyama. 7
  • @
    @nyogwamihalo4723 years ago Pole sana watuwengine wanalazimisha mapenzi jamani kama hakupendi usimlazimishe jamani fanya yako sasa huyu dada alikua amekosa wa kumtongoza jamani mungu amlani.
  • @
    @starlonejadamskp82243 years ago Dah mwenyezimungu atupe mwisho mwema inshallah. 2
  • @
    @heyumi23403 years ago Sijawahi sikia mwanamke kumchoma mtu moto hustaili kuwa mama wa family neda jela ukafie huko usirudi ukiwa hai maana kuna watoto wetu wazuri usije kuwapenda tena na kuuwa. 15
  • @
    @selemanimasatu24213 years ago Ukisia unanioa au hunioi nifanye jambo langu, ndo huku sasa mtu anakulazimisha mahusiano mpaka kifikia hapo, du siku za mwisho hizi. 19
  • @
    @firdausrajabu68223 years ago Duh we dada wew mh ulitoa wap huo uxhujaa. 1
  • @
    @halimayusuph49313 years ago Ila huyu dada alichokifanya niunyama mbaya sana huyo dada sijui alipataje ujasili huo daah it' s very sad polen sana wanafamilia. 12
  • @
    @zayanazayana53533 years ago Kung' ang' ania kupendwa km hutakiwi sema na moyo wko uondoke maisha mengne yaendelee. 3
  • @
    @hfjfjhfjffj4553 years ago Ifike mda tukubali kwamba kuna kupendana na kuna kufarakana pia ukiambiwa hutakiwi kubaliana na hali mbona mm nimeachwa na wala sijaleta tafrani nimejijia . ...Expand
  • @
    @hawwasandale19353 years ago Mmmh. Dunia ina maajabu sanaa kwani kama mtu wamuona hajatulia si uachanenae tuu.
  • @
    @khatibuhijja4593 years ago Kifo kibaya sana, m mungu amsameh makosa yake, ila ndoa jamn, kama ukiuliwa uuliwe na mmeo au mkeo kwa m mungu utakuwa hauna dhima, lkn ukifa kwa mapnz . ...Expand 2
  • @
    @loner_wolf3 years ago Nafikiri tusihukumiane sana, ila tukubali kuwa a half of the story that hasn' t been told, it must be told by now. Wazazi waambieni watoto wenu ukweli mm naamini huyo mwanaume hakuwa anajua ukweli juu ya mapenzi zaidi ya kupanda kitandani na kuitana baby kwa maneno, hakujua kuwa usicheze na nafsi ya mtu, usicheze na maisha ya mtu. Huwez kumdanganya bint wa watu kama mpenzi wako kisha ukamtangaza kwa jamaa zako, kisha kumbe ulikuwa katika kumuharibia tu maisha yake. Usiwashe hisia za mwanamke kwa kumdanganya unampenda wakati hunamaana ya kumpenda kweli. ...Expand
  • @
    @mwanachamawatz90833 years ago Kosa ambalo amefanya jamaa ni kukubali kwenda kwenye hiyo nyumba wakati akijua kabisa amempiga chini huyo dada. Ndio hivyo tena. 5
  • @
    @aminabernad46263 years ago R i p zungu kaka yetu mungu akupunzishe kwa amani.
  • @
    @ashaathuman14723 years ago Inauma sana jamani pole kwa familia yake sheria ifate mkondo wake.
  • @
    @julianajacksoni42753 years ago Dah jaman. Binti ana roho ngumu. Kama mapenzi yameisha achaneni tu. Yanini kuuana. Sasa ataishia jela. 9
  • @
    @halimayusuph49313 years ago Innalillahi wa inna ilayhi raji' un mapenzi ya sikuhizi tuwe makini kama unaona hauko tayari bora kutulia kuliko kukurupuka maana sikuhizi kuna michezo ya kuchezeana kwenye mapenzi. 8
  • @
    @violetpaulsen17413 years ago Jmn wanaume wanaumiza lkn siwez kulipa kisasi cha unyama namna hii jmn bora kukubaliana na hal halisi pole familia ila mwanamke mwenzangu dah! 3
  • @
    @vickngowi27793 years ago Mmmh jaman mapenz haya alio yaleta alaaniwe.
  • @
    @nooraallahuakibarumwenyeez30793 years ago Hiyo jeneza inavyopelekwa halaka na wahuni duu. 1
  • @
    @user-wj2ss1qk8k3 years ago Dahl pole sana family kwa ujumla yan kwa sitairi hi tumeisha kabisa allah ampunguzie adhabu ya kabul rip.
  • @
    @mwanahamisseif55063 years ago Dah jamani kwann lakini roho inaniumaa kma namjua uyo kaka.
  • @
    @adammj62583 years ago Wanawake na mapenz ya kulazimisha, km hakutaki si uende! Visasi vya nini! 5
  • @
    @OfficialOchu3 years ago Nina wivu kupindukia lkn adhabu ya mungu km hiyo siwezi ipata nikamuuwe mwanaume kisa wivu wa mapenzi allah aninusuru tukichokana basi sio lazima kuishi kwa kufosi. 1
  • @
    @mayroseclemence993 years ago Jamani tukiachwa tuachike tukubali matokeo! Ukiachwa na huyo utapendwa na mwingine. 8
  • @
    @cheiknamouna20583 years ago Huu mwezi umeanza na matukio ya moto karibu kila sehem ni moto tz ndo usiseme tuombe tu rehema kwa kweli corona yenyewe imeshatuchapa vyakutosha. 5
  • @
    @ashuraalli15613 years ago Mnh ila huyu dada htr ayo ndo mazara ya kucheza na hisia za mtu wanaume muwe wa kweli ila inauma sana.
  • @
    @neemapeter11203 years ago Kina neema nyinyi jamani, mapenzi yasiwaingize hatiani. 1
  • @
    @janemuthoni7233 years ago Waa huyu mzee anaeleza nn kuhusu mjukuu wake, mamake ndiokamzaa mama ndio mjomba wangu ndio huyo mjukuu wangu, sasa hiyo ndio maelezo gani wa.
  • @
    @zaitunishee44313 years ago Astaghafirullahinallillh wainallillah rajiun mwenye zimungu nizidishie taqwa kwenye ii ardhi yko.
  • @
    @tztanzania22623 years ago Tuache uzinifu jamani tuoeni tu gharama wala si nyingi. 9
  • @
    @theresiamrema98643 years ago Inasikitisha sana unyama kama huu huyu binti hafaii.
  • @
    @alfonsimwalongo91643 years ago Me sielew mapenzi ndo yanauma ivi au sijui.
  • @
    @hajjiqassim47143 years ago Vijana tuache anasa tunakufa sana ktk maasi. 1
  • @
    @jennymsanya79963 years ago Mmh achukilkwe hatua kali si ubinadam kbsaa.
  • @
    @uwimanacitegetse99263 years ago Tatizo wanaume wanatowa ahadi alafuwengiwao hawatimize matokeoyao ndohayo punguzeni uwongo. 2
  • @
    @ummycheedy28093 years ago Kwa enzi yauhai wao kwan uyo rakiake apoalipo ni maiti. 2
  • @
    @salum_scales92173 years ago Innalillah wainna illaih rajiun ndugu zangu tujitahid sana na tumuombe mungu umauti usitupate tukiwa kwenye mambo ambayo hayampendezi allah. 4
  • @
    @kadijahajali39183 years ago Huyo mwanamke mshenzi kuchoma nyumba mototo.
  • @
    @meryfrank52723 years ago Pungezeni ahadi za uongo alf mtu kama humpendi usimdanganye, alf tuwe na hofu za mungu jmn sasa mana iyi dunia sasa itatupeleka jehanamu tukiendekeza ujinga. 3
  • @
    @braysongetrude70003 years ago Wachaga tunafeli wapi jamani tulikubaliana mapema kuwa n kutafuta pesa tu vp wivu wa mapenzi.
  • @
    @ednajeremiah86713 years ago Wanaume jifunze kusema ukweli unaye mwanamke umezaa naye tena watoto 2 bado unaendelea kumdaganya mwingine jifunzeni jambo hapo.
  • @
    @emanuelgaddafi76513 years ago Unakumbuka nini kipindi cha uhaiwenu! Kwako ndugu mtakazaji! 1
  • @
    @binthawa29733 years ago Wanaume ukiona mtu hauna malengo nae achana nae labda mwenzk kazama kabis wew unatakkalio tafuta wa maisha nae acha kuchezea wa watu. Uyo dada hatujui katongozwa na wangap weny malengo nae labda kawakata mwish wa siku unasem humtak. ...Expand 1
  • @
    @aishaibrahim56073 years ago Subuhana allah kamkatisha mwenzie maisha yke akiwa bdo mdgo baada yakuzikwa namwili wako anazikwa mifupa dah mi ndomaana mtu kama simpend bola tuachane tyu. 3
  • @
    @afamefunaokeke69663 years ago Liwe funzo kwa vijana coz wemekua too much now days huna haja na mtoto wa mtu achana naye kuna dada poa lipa chapa. Yebo. Wanawake tunaumizwa sana na hawa viumbe wa kiume in the name of love. 2
  • @
    @roseafrael753 years ago Ila jamani huyu dada kafanya unyama mnoona nyie wanaume punguzeni ahadi za uongo kwa mabinti hivi mtu anakuaminisha kabisa kuwa na ww na ss wanawake tunavyojua kuwaamini ninyi wanaume alafu mwisho wa siku unagundua kabisa kuwakama una hasira za haraka matokeo yake ndo haya unaamua kuua tuu liwalo na liwe. ...Expand
  • @
    @stevenhassan2693 years ago Au ndio tuseme huyo dada amelipa kisasi cha jamaa yule aliemchoma mkewe kwa gunia mbili za mkaa wanasemaga eti oh wanaume ni makatili. 1
  • @
    @salumjumaruhaga25133 years ago Lazima uwe na mpenzi kwa vyovyote, kwa garama yoyote, haya sasa hayo ndio matunda yake. 6
  • @
    @janethpater16233 years ago Unakuja kukatiza ndoto za mwenzako nyuma yake kulikuwa na watu wanamtegemea.
  • @
    @teddylameck213 years ago Mapenzi jomon mtu ujazaliwa nae. Yanauma ila neema atakuwa kaingiwa na pepo kiukwel. Mungu tunusuru vijana. 1
  • @
    @maryamtanzania9743last year Wakati unataka kufanya kitu uangalie mwisho wake yeye kafa lakini wanamaumivu kiasi gani watoto wazazi ndugu.
  • @
    @ernestkatyega57813 years ago Wanaume tutafute pesa hawa wadada watatumaliza.