Duration 16:2

MAMA AKUTANA NA WATOTO WAKE ALIOPOTEZANA NAO KWA MIAKA 53/AFUNGA SAFARI KUTOKA DAR HADI GEITA

59 790 watched
0
488
Published 12 Jul 2021

Kupitia kipindi cha Leotena Cloudsfm kila mwaka ikifika mwezi wa tano tunatoa nafasi kwa wale wote wanaotafuta Mama na akina Mama wanaotafuta Watoto wao,Na mwaka huu tumekutanisha watoto na mama takribani watano mmoja wapo ni huyu Mama tuliomkutanisha na Watoto waliopotezana zaidi ya miaka 53..! Wamekytana vipi tizama hapa ujionee mwanzo mwisho #geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

Category

Show more

Comments - 307