Duration 19:14

Loh Waziri Gwajima awawashia moto waliomdanganya, waomba msamaha, aagiza ukaguzi

109 414 watched
0
494
Published 14 Jan 2021

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima amekagua mifumo mbalimbali ya utoaji huduma katika katika Hospitali ya Wilaya Ukerewe mkoani Mwanza na kuagiza ukaguzi maalumu kufanyika ili kubaini ukweli wa mambo aliyohisi hayako sawa. Tovuti @BMG BLOG https://www.bmgblog.co.tz/ Facebook @BMG HABARI https://web.facebook.com/bmghabari Twitter @bmghabari https://twitter.com/bmghabari Instagram @bmghabari https://www.instagram.com/bmghabari/ #BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI #PamojaDaimaBMG

Category

Show more

Comments - 436