Duration 26:20

NYAVUNI SPESHO: Yanga SC v Simba SC - mabao 20 bora ya Watani wa Jadi katika VPL na ASFC

521 445 watched
0
1.3 K
Published 8 Mar 2020

Katika mechi za hivi karibuni zinazohusu Simba na Yanga, kumetokea magoli makali huku magolikipa wakifanya kazi za ziada, haya ni mabao 20 bora ya Yanga na Simba ambayo yamekusanywa kutoka Ligi kuu Vodacom Tanzania Bara pamoja na yale ya Kombe la Azam Sports Federation Cup. Mechi hiyo itakuwa LIVE Azam Sports HD kuanzia saa 11:00 jioni. Lipia kisimbuzi chako cha Azam TV mapema upate kuona mechi bila usumbufu wa kulipia dakika za mwisho. #WataniWaJadi #YangaSimba #YangaVsSimba #DarDerby #KariakooDerby Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 117