Duration 11:55

SABABU ZA MAOMBI YAKO KUTOKUJIBIWA-VIKWAZO KATIKA MAOMBI

26 501 watched
0
400
Published 20 Jun 2021

#maombi#Mungu#wokovu Tunahitaji kuomba ili tubadilishe maisha yetu, tunahitaji kuomba ili kudhihilisha imani yetu kwa Mungu wetu ambaye tunamtegemea, tunahitaji kuomba ili tupate rehema na neema ya kutuwezesha kuishi maisha matakatifu, tunahitaji kuomba ili tukue kiroho. Lakini vipo vipingamizi/vikwazo ambavyo vinatokana na sisi wenyewe, ambavyo vinasababisha maombi yetu yasijibiwe. Vikwazo hivyo ni kama vifuatavyo:- /watch/8cCkpGqqFu2qk website:www.sirizabiblia.com +255 758 708 804 #sirizabiblia

Category

Show more

Comments - 56