Duration 11:34

Sikujua HARMONIZE atafanya vile,sijapenda,alinitumia meseji,namkubali DIAMOND Pacha wa DIAMOND

211 802 watched
0
1.8 K
Published 9 Nov 2020

Please subscribe now on Our YouTube channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #pachawamondi

Category

Show more

Comments - 555
  • @
    @seducerkapero73064 years ago Ahahaha unajua mi nimeangalia hii video uku nacheka sababu (1. Huyu jamaa ametumikani vigumu sana kujua tatuu alizocholwa za diamond yeye si mwandani wake(2)ni shida zake ndio zimemfikisha kwakwanini asikatae jiulize pia kwanini asikubari ili hali anashida na pesa na ajavunja sheria, yeye ni yeye na hana mkataba napia kuna faida gani kuwa na mwili kama wa diamond na usiutumie kama diamondkwa hamo na ndio maana nachekahas learned from thesaanyingine umpita mwalimu, hii ni cut&paste amini nakwambia if the table could turn diamond pia angefanya ivi kwa harmonizer na ndio maana amtakiwi kupanic hapa ndipo bongoflevatuone diamond atakuja na nini. Lakini pia i must admit kwamba hii stunt imefanyika kwa utaaramu wa hali ya juu na kusema kweli mimi nimeipenda. Kwa sababu kubwampya atapatazaidi thanks to harmonizer (2)harmo amefikisha ujumbe kamana niseme ujumbe umefika na tumeafikimuhusu dear mond. Iko sawa. ...Expand 1
  • @
    @theonecrew49704 years ago Middle simba upo vizur sana aisee kuhoji big up bruh. 19
  • @
    @tutakusaidiakupatagari88314 years ago Midle simba ni professional, mtu mwenye kitabu chake kichwani utaskia tu aina ya maswali anayouliza. Nakukubali sana bro. Nakuona millardayo mpya na nidham zako pia. 26
  • @
    @boasmbwaga83624 years ago Amenizingua sana uyo mwamba ametuchafulia sana teem mond. 36
  • @
    @dianamushi37934 years ago Middle nimependa unavyo endesha interview. Vizuriikadhaa hapa. 3
  • @
    @luqash_luqman97444 years ago Bila diamond no trending shikamo baba abduly nasib mwanao kibaoo. 18
  • @
    @kakakilipuzi98974 years ago Huku kenya tunamtambua sana diamond platinumz simba ni simba tuu. 4
  • @
    @harbonbwoy63224 years ago Like za middle simba kisha slide kwa youtube channel ake. 32
  • @
    @yohanajaphet36284 years ago Yan harmonize ujui tu we ndo mshamba umetukosea sana team mond pole. 4
  • @
    @xmark06094 years ago Team diamond kutoka mombasa mko ebu kwa lyk. 1
  • @
    @jackdope4 years ago Jama hana shida, illa wame mtumiya pasipo kujuwa, yeye ni shabiki wa mondi, alicho fanya harmo si powa. 85
  • @
    @wesleysanja32654 years ago Harmonize has proven diamond is ruling music with higher brain. The rest kama kina harmonize let them fight with small boys. 13
  • @
    @meshackkangwe34144 years ago We jamaa mshambaaaa kama inavosema hiyo nyimbo sauti ya kishamba huwezi fanana na 3
  • @
    @luhajufilmstanzania4 years ago Harmonize kabug sana. Akumbuke alikotoka. 25
  • @
    @rukumannelson23724 years ago Middle simba nakubali sana professional huwa nafatilia sana kaz zako upo makini sana kaka natama siku moja nikuone live hapo ndoto yngu itatimia.
  • @
    @petarnjoole78594 years ago Kuna kawimbo nakuo utaki kunitajia jina. 8
  • @
    @eddyboycharming24744 years ago Nimependa uliposema msanii mkubwa hapa east africa l like that. 3
  • @
    @nevermugisho58514 years ago Nikweli kabisa jama. Hana shinda ila sisi uko congo tuna mupenda sana.
  • @
    @alhamdullilla51084 years ago Hamufananee ila unaji force mufananeee diamond mzuriii mashaallah.
  • @
    @suleymoo9674 years ago Mtangazaji jifunze kuuliza maswali, hebu angalia swali lako la ety, tangu uko mtoto hebu fikiri huyo jamaa tangu yuko mtoto diamond pia alikuwa sio mtu anayefahamika? 13
  • @
    @shafeeshafee86134 years ago Middle simba nimegundua ww unakauonga flani ivi kakumuoj mtu sijui sababu uoj oji watu ila kaz mzr nakukubal.
  • @
    @bwiseasukulu33914 years ago Sio eti alikua ajui akipenda yeye aache ujinga wake. 4
  • @
    @zubemiloneamohamedizahera62314 years ago Harmonize amekosea sana wallah mhmhmhmh ama kweli rafiki wa leo ndio adui wa kesho wallah. 7
  • @
    @alexkazimoto70594 years ago Jamaa mwshon kaongea point xna mm nime msamehe. 16
  • @
    @barakaisack12384 years ago Yan middle nakubali sana uchambuzi wako na interview zako kila unachokipost huwa nakiamini kwa 100percentage. 6
  • @
    @ivaniavianarodrigo72014 years ago Harmonize, kamrubuni huyu jamaa, naamini wangemtaarifu asinge kubari, harmonize sio mstaarabu kamshuti alafu kwenye kuediti hajamuambia, konde sio mtu mwema, pole mimi sikulaumu pacha mondi! 14
  • @
    @devisekadesh54134 years ago Pole xana kwa kutumiwa kuaribu jina la mwingine.
  • @
    @ambrosemillanzi22084 years ago Simba vs konde boy wote ni artist from east africa sir. God bariki kazi zao.
  • @
    @princemwaifunga81514 years ago Huyu jamaa tunamfungulia kesi anatumia jina la mtukulipa title. 2
  • @
    @bernardchibwana94114 years ago Harmonise mshamba sana! Na wimbo kajiimbia mwenyewe mshamba.
  • @
    @user-xi1pi4zr3b4 years ago Huyu jamaa hana ubaya wwte pande zote mbili, njaa ndio ilimpelekea kufanya ile kaz ya harmo lakn rizki popote yuko sawa. 19
  • @
    @ezapesambili21304 years ago Hivi lini middle simba atangizwa kwenye category za mtangazaj bora tummwagie vote za kutosha? 2
  • @
    @salmakhasim18274 years ago Sawa kaka umeongea tumekuerewa uyo mmakonde yeye atacherewa kutaka kiki kupitia mondi bado mondi ni babalao a take asitake afanye mziki bira kumtupia vijembe mondi a one kama a tapata jam lawatu tena unapotea. 3
  • @
    @ashura.burundixhxhx704 years ago Pole sana kak ila harmonaizi ajuwe kama simba na bab lao.
  • @
    @dyanamotz4 years ago Huyu jamaa muongo mpaka bc maelezo yake ya interview yakwanza na zingine tofauti kabisa. 8
  • @
    @tryson42924 years ago Kukuokolea time,main point imeanza kuongelewa dakika ya 1
  • @
    @osmanmohammedosman54934 years ago Sema mwamba haelewi maswali na kujibu ni shida! 32
  • @
    @nellynguzo55034 years ago Harmonize amezingua xn, nadhan anatafuta kiki video iende. 4
  • @
    @muanashaswaleh51104 years ago Yani walimficha alafu hamonaiz hakujitokeza akajulikana hiyo nimipango walipanga timu nzima walimpeka kinyume. 4
  • @
    @xtarkidz59234 years ago Jamani ni navyojuwa huu ni mpango wa harmo ili ngoma yake iongelewe izidi kutrending. 1
  • @
    @khamishussein35024 years ago Yani uyu kajialibia hatokutana na mondi miaka miwili mbele. 20
  • @
    @hamisichuma69824 years ago Punguzeni mapovu wadau simba mwenyewe ajapaniki wewe unafoka we kama nani uwo niushamba wadau. 7
  • @
    @eviepretty26464 years ago Daah! Et tutajie jina unalotumia kutafutia ugali middle bana. 2
  • @
    @hidayaabubakary82504 years ago Shukuru mungu umeoshanyota wewe boya ungeonekana sangp umeuza sura sana embu tuachie konde boy wetu ushakula pesa wewe tulia tu.
  • @
    @ashirievara85424 years ago Amakweli kuishiwa kubaya san yani uyo sas hiv anaimba 1
  • @
    @idid81554 years ago Msimlaumu jamani anatafuta zake jisi yakupata ugali. 1
  • @
    @danvasco44304 years ago Riziki mafungu saba, boy atafuta unga tu basi, +254 kenya. 1
  • @
    @yothamshoppingcenter99454 years ago Yani we mimi nita kutafta nita kulipa unyowe kila kitu mjinga sana we. 1
  • @
    @amisindondi45494 years ago Kwani ww middle simba si mulimchokoza wenyewe harmonize wcb mulisema kampeni zimeisha mtapata wapi hela yaamewajibu isiwaume. 4
  • @
    @tonyshineafrica82784 years ago Anajiitwa ndo nn kama umesikia hvo like twende sawa.
  • @
    @zou74704 years ago Uyu kaka alitaka kiki mana anaongea mambo mengi tafauti mim nimeangalie sehemu apa kwa middle simba ni sehemu ya tatu so anaco kiongea uko nitafauti nalico kiongea apo so sijuwu tuamini ukwel upi apo. 6
  • @
    @mohamedyally5704 years ago Maskini pacha daah wamemshambisha kizembe. 3
  • @
    @Agnes-qq4np4 years ago Uyo jama amesha jiaribia sasa afazali angebaki upande moja kwa mondi hatofanikiwa kukutana nae kwa harmonize kajiaribia tena. 1
  • @
    @stanslauselias90024 years ago Umepotea mwana tayali tulikuwa tunakukubali ila kwa sasa umekunya mwenyewe ulilolitafuta utalipata labda ulidi kigoma ila umesha haribu tayali. 1
  • @
    @BongoPlatformTv4 years ago Yani huyo hakujua pia yy karekodiiwa tu kipande hapo hajaambiwa kama ni ishu ya hamonize. Dah mildesimba yaani kwenye interview ya leo ni kali cjawahi kukubali ila leo big up sana.
  • @
    @josephvenus32594 years ago Kaka wala usijari, Hamoniz analo litafuta atalipata tu. Huwezi kumdisi na kumdharirisha mtu aliye kutoa matopeni na kukufanya uwe nadhifu tena wakuheshimiwa hata na jamii nzima. Dah! Ule usemi wa mfadhiri mbuzi. binadamu. hapo ndipo unaujua maana yake. Namwomba sana Daimond asijibu kitu. .. ...Expand 5
  • @
    @abdybenyedah16524 years ago Jamaa nimemkubali mwisho.
    yaan ameongea point katk mazungumzo yote toka mwanzo.
  • @
    @maryamzaydowino58984 years ago Kumbe diamond ni mhandsome, see your twin then no how physically well you are. 1