Duration 10:17

Jinsi ya KUONGEZA MWILI/UZITO Kwa Haraka

97 355 watched
0
0
Published 16 Feb 2018

Uzito mdogo ni hatari kwa afya yako kama ilivyo uzito mkubwa. uzito mdogo tunamaanisha BMI= 18.5 au pungufu. Lakini kuna namna nyingi ambazo unazoweza kufanya na ukabadili maisha yako kwa kuongeza uzito kwa haraka. katika viideo hii nimeelekeza vitu muhimu vya kufanya ili kufikia malengo yako. MAWASILIANO: Simu: +255 767 759 137 au +255 672 065 487 Email: real.dr.nature@gmail.com P.O Box 2240 Moshi, Tanzania Facebook: www.facebook.com/real.dr.nature

Category

Show more

Comments - 119