Duration 4:8

ACT walalamikia mizengwe ya ZEC Pemba

5 239 watched
0
25
Published 19 Jul 2020

Chama cha ACT Wazalendo kinasema jinsi Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) inavyoendesha shughuli ya kugawa vitambulisho vya kura kwa waliojiandikisha kunatia wasiwasi.

Category

Show more

Comments - 52