Duration 2:53

MAELEKEZO YA DKT MOLLEL KWA VITUO VYA AFYA

Published 3 Jan 2021

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amepongeza Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya kwa uwepo wa mtaalam wa lugha za alama kwa viziwi ambapo zaidi ya viziwi 300 wamefadika na uwepo wa mtaalamu huyo.

Category

Show more

Comments - 0