Duration 29:48

NGUVU YA KUFUNGA NA KUOMBA

54 888 watched
0
384
Published 18 May 2018

Ujumbe huu nimehubiri asbh ya leo kwenye Redio Mashujaa 89.5 Fm Lindi. Unaweza kubarikiwa na ujumbe huu. Ijue nguvu ya kufunga na kuomba. Kama hujawahi ku-subscribe nakuomba ufanye hivyo. Kila siku alfajiri hatuachi kuweka ujumbe wa Neno la Mungu kwenye Channel hii. Hivyo uki-subscribe yatakufikia. Mungu aliye hai akubariki Kwa maombezi, unataka kupokea uponyaji au kufunguliwa kwenye kifungo chochote kile, ushauri au unatamani ujitoe kikamilifu kumtumikia MUNGU na UNATAKA KUMPOKEA BWANA YESU AWE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO NA AKUSAMEHE DHAMBI ABADILISHE MAISHA YAKO NA TABIA MBAYA ZILIZOKUSHINDA basi wasiliana nasi kwa msaada wa Roho Mtakatifu tukusaidie . Ukipiga simu isipopokelewa tafadhali acha sms. Unaweza pia kufuatilia mafundisho kwa njia ya facebook www.facebook.com/UshuhudawaInjili Like page hiyo ili uwe unafuatilia mafundisho yetu kila siku. Pastor Shagihilu +255 758 443 873

Category

Show more

Comments - 102
  • @
    @user-sj9kp9ft3f11 months ago Amina mtumishi mungu akuinue! Huwa ninabarikiwa na mafundisho yako! 1
  • @
    @rosemvamba44005 years ago Ameen mungu azid kukubariki uzidi kutuombea mtumishi wa mungu. 4
  • @
    @tamaraeliz71145 years ago Amen mtumishi wa mungu. Baba yangu wa mbinguni anisaidie. 3
  • @
    @kingmama93716 years ago Nimebarikiwa sana na maombi yako mungu akubariki, akutie nguvu, akulinde na yule mwovu, akulinde mpaka mwisho, akupe kuuona ufalme wa mbinguni, amen. 9
  • @
    @kingmama93716 years ago Amen mtumishi wa mungu ubarikiwe saana mungu akutie nguvu katika kutangaza neno lake dam ya yesu ikufunike wema wa mungu ukuzunguke amen. 2
  • @
    @dilurai42044 years ago Mungu akubariki akutie nguvu, hekima na maarifa, unapotubariki nasi. 2
  • @
    @furahaundji23825 years ago Amen nimebarikiwa mungu akuzidishea kwakazi unayo mtumikia. 2
  • @
    @nancymsangi13515 years ago Amina mtumishi nikitaka kujua maombi zaidi nakupataje. 1
  • @
    @elisaarobert90216 years ago Amen mungu akubariki uzidi kutuinua kiimani. 2
  • @
    @tupacshakur96604 years ago Amen god bless you man of god watching from mombasa kenya. 1
  • @
    @samwelleonard30564 years ago Mtumishi ninabalikiwa sana mungu akuzidishe. 1
  • @
    @judygathoni58616 years ago Nabarikiwa sanamanake mm husoma bible rakini cijui kuteua inavio sema sasa mm humpeda pastor kwakua anarezea zaidi. 2
  • @
    @janethtegera91396 years ago Amen, mtumishi msichoke mungu atawalipa msipozimia moyo.
  • @
    @judygathoni58616 years ago Mgu mkubuke pastor anavio tuobea mema. Pia na yy mgu usimpite mpe nguvu naneema yakazi anayo fanya amen. 2
  • @
    @felichinakihaga5095 years ago Mtumishi mi nina shida naomba masiliano yako. 1
  • @
    @madeleinemb67276 years ago Nita funga lundi, j' espre arriver. 2
  • @
    @bonifasiemanueli27086 years ago Hongera mtumishi wa mungu kwa mahubili motomoto binafsi nimebalikiwa sana niko kgm. 4
  • @
    @joanna_kitchens64026 years ago Mungu akubariki saana nimebarikiwa saana leo mtumishi. 2
  • @
    @veronicafabian84184 years ago Amina mtumishi. Funga yangu ya juzi hakika nimesikia sauti ikinisemesha. Na kunielekeza. Funga ina nguvu sana. Mungu aliekuta azidi kukuinua zaidi. Vita ni kubwa lakini usiogope. 2
  • @
    @ceciliawanga12485 years ago Mimi ni mgeni katika uokovu, naomba kujua wakati mtu anafunga anafaa kula chakula gani na anafaa kula saa ngapi? 2
  • @
    @margaretkamau92203 years ago Mtumishi niombee niliangizwa na mungu kufunga kwa siku tisini lakini mahali nafanya kazi sio mahali pazuri ninafuatiliwa sana kujulikana kama nakula chakula . ...Expand
  • @
    @euniceeunice76805 years ago Mungu nawe pastor. Shida yngu nipo nchi za nje naishi na mtu ambae sio mume wngu lkn nimeamua kumludia mungu na nishaweka ahadi nikiludi tanzania nitamtumikia . ...Expand 2
  • @
    @carolnyakanokenya34946 years ago Barikia mtumishi wamungu zidi kuneza mema ya bwana. 3
  • @
    @thewellministry90085 years ago Tuombee nchi yetu tuache maombi ya ubinafsi. Kuna emergence nyingi nchini hapa acheni shallow mind. Kuna haja ya kufunga na kuomba kwa kila jambo. Lakini nguvu hii ya kufunga tumia kwa ajili ya nchi utaona mambo makubwa kwa ajili ya nchi kisiasa na kanisa la sasa. Je unayoyaona yaani mambo yanayoendelea katika nchi na kanisa ni sawa? Mchungaji mtumishi asante kwa somo hili. Wakifunga basi. Himiza watu wasikie kutoka kwa mungu kuhusu hatma au maisha au future ya nchi yao. Asante sana. ...Expand 1
  • @
    @carolnyakanokenya34946 years ago Nimebarikia hata leo niko kwa maombi yakufunga leo nisiku yatatu. 2