Duration 10:40

Mazoezi ya tumbo kwaajili ya 'six packs' /Abs workouts

1 451 watched
0
24
Published 2 Aug 2021

haya ni kwaajili ya kujenga misuli iliyopo kwenye tupo, yaani "six packs". Kumbuka mazoezi haya sio kwaajili ya kupunguza kitambi, kwani kitambi ni mkusanyiko wa mafuta ambayo yanatakiwa kuondolewa na aina zingine za mazoezi lakini pia ulaji sahihi. Hivyo basi kama wewe una unene kiasi au sana, mazoezi haya hayatakusaidia sana kwani unaweza kupata "six packs" lakini zikawa zimefunikwa na tabaka la mafuta. Kwa swali au maoni unaweza kucomment hapo chini... Tunapatikana/LOCATION https://goo.gl/maps/NRfTWa4pQgapFFY67 Unaweza kutembelea kurasa zetu http://www.instagram.com/brotherhoodfitnessclub http://www.facebook.com/brotherhoodfitnessclub #sixpacks #abs #gym #workoutvideos#mazoeziyaviungo #gymworkout #videozamazoezi #workoutmotivation #gymrat #workoutvids #gains #video #misuli#gymmeme #tizi #fitness gym #workoutroutine#mazoeziyakukatatumbo #fitnessaddiction #diet #personaltrainer #gymtraining #mazoezi #exercise #gymnation #healthy #muscle #abs #sixpacks #kukata mafuta #afya#kupunguzakitambi #gymlifestyle #gymnastics #health #kupunguzaunene

Category

Show more

Comments - 0