Duration 3:35

SAFARI YA MASHABIKI GEITA GOLD FC YAIVA KWENDA MUSOMA MARA, UHAKIKA WA ALAMA 3

134 watched
0
0
Published 21 Jan 2022

Mashabiki wa Klabu ya Geita gold FC kesho mapema wataianza safari ya kuelekea Musoma Mkoani Mara kwa ajili ya kuipa nguvu timu yao itakayomenyana na Biashara United kwenye uwanja wa Kumbukumbu ya karume Mjini Musoma. #SUBSCRIBEUWEWAKWANZAKUPATAHABARIZETU.

Category

Show more

Comments - 0