Duration 34:59

MALI ZA BILIONEA ERASTO MSUYA ZAITESA FAMILIA,FULL STORY HII HAPA

431 343 watched
0
1.4 K
Published 19 Oct 2019

ERASTO MSUYA alikuwa ni Mfanyabiashara wa Madini ya Tanzanite ambaye aliuwawa kwa kupigwa risasi August 07, 2013 katika eneo la Mijohoroni Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro. Baadaye Mwaka 2016 Mdogo wa Kike wa Bilionea huyo Anethe Msuya naye aliuwawa na kusababisha kushikiliwa kwa Mke wa Marehemu Erasto anayefahamika kwa Majina ya Miriam Mrita akihusishwa na Mauaji ya Wifi yake. Bilionea Erasto aliyeacha watoto 4 aliacha Vitegauchumi kadhaa ikiwemo Mgodi ulipo Mirerani,Hoteli ya SG iliyopo Jijini Arusha,Nyumba,Mashamba,Magari pamoja na Fedha taslimu.

Category

Show more

Comments - 1057