Duration 20:25

MAKALA: SIMULIZI YA MUUGUZI NA MKUNGA ASIYEONA -SEHEMU YA KWANZA

318 watched
0
14
Published 22 Jul 2020

Alizaliwa anaona miaka 34 iliyopita Mkoani Njombe, baada ya kupata elimu yake na ujuzi akapata mume akaolewa na kuzaa watoto wawili. Miaka sita iliyopita akapoteza uwezo wa kuona na mume wake akamtelekeza ndani ya basi wakati wanatoka Hospitali.

Category

Show more

Comments - 1